JE WIMBO WA SUDI MANJEWA MPYA AMEMPA UJUMBE ESCOBAR BAADA YA KUWACHWA NJE KWENYE VIDEO???
Ngoma inarira ndio mistari tunayoipa kongole leo hii.Msanii 'chuma cha moto'Sudi Manjewa amerudi tena na kama kawaida yupo chini ya produza Morbiz wa Thundersound.Kwenye ujio wake mpya mkali huyu amempa shavu Shaa Biggy na kama kawaida ujumbe wake ulikuwa kwa njia ya diss na mafumbo.Swali ni je kamdiss msanii Escobar baada ya Escobar kumuacha nje kwenye video ya Yende yuye??????
Comments
Post a Comment