MCHANGANYIKO WA MUZIKI WA HIPHOP NA JAZZ. MSANII WA HIPHOP ATAYARISHA COLLABO KALI NA JUMA TUTU.
Baada ya kuingia Uganda na kufanya kazi na wasanii kadhaa kwa wimbo Amandla, Hustla-J amerudi nyumbani na kuchanganya flavour kali za jazz na hiphop. Kwenye ujio unaotayarishwa kwa sasa na produza gwiji kwa jina MG aliyewatoa wasanii Hart-the band, Hustla-Jay tayari keshajifunga kibwebwe na wimbo wake na Juma Tutu upo jikoni.Subiria matokeo.
Comments
Post a Comment