NAWASIKITIKIA WASANII WA NAIROBI!!!!WAPINZANI­ WAO WA JADI WAPWANI WAMEITEKA HIMAYA YAO YA MUZIKI......!


Ni wakati wa wasanii wa Pwani kung'ara baada ya kutoa jasho miaka mingi ili waweze kupenya kwenye soko la Nairobi.Na jinsi mambo yalivyo bila shaka yaonekana wazi kuwa himaya ya muziki wa Kenya ipo mikononi kwa wasanii wa pwani.Tukizungumzia audio zilizosafi,midundo iliyokolea utamu na video zilizosimama Ki aina yake basi wasanii wa Nairobi nawasikitia sana kwani tayari wapwani wanamiliki mashabiki wa Kenya kwa mvuto wa muziki wao unaowateka wengi. Tamasha za muziki,kwenye runinga,redioni,maga­zetini,kwa majarida na kwa mitandao wasanii wa pwani wamezidi kupata mpenyo mkubwa na kuwapokonya wapinzani wao wa jadi.Mapinduzi yameanza na kamwe washika dau wa sekta ya muziki wa pwani wameapa kutorudi nyuma kamwe. Tazameni picha hizi jinsi wanamuziki wa pwani wanavyong'ara jijini Nairobi!!Ama kweli juhudi hulipa na mdharau biu hubiuka


Comments

  1. MUBER takes delivery services to the next level in Nairobi. Having a reliable, safe, fast and affordable provider is all you need for your personal or professional deliveries in Nairobi. With a large fleet of motorbikes and a professional team of riders we are here to serve you 24/7delivery services in nairobi

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA