WACHENI NGONO ZA MAPEMA AU MTAPATWA NA MAGONJWA YA ZINAA-NYOTA NDOGO AWASHAURI VIJANA.


Nyota Ndogo msanii ambaye Wengi humuita mama mlezi wa Sanaa ya Pwani ameamua kujitwika jukumu la kuwafunza vijana hasa wanawake.Nyota yaonekana amechoshwa kuona mambo yanavyoenda kombo na kabla vijana kuangamia ameamua kuwapa wasia na ushauri mzuri.Nyota alisema hivi........
"Ujumbe wangu kwa waschana.muache kufanya mapenzi mapema yani umri mdogo. Enyewe ni ngumu kuwakanya ila kama lazima ufanye mapenzi tumia condom kujiuepusha na ukimwi na
mimba. Na kama utapata mimba basi usiitoe maana wengine MUNGU umewapa yaimoja tu. Unaweza toa na ndio iwe basi kwako.  Boyfriend yako akikwambia uitoe basi juahajakuesabu kwa maisha yake kwa mda mrefu. jitoe. unaswali?.ushauri tu wa maisha.”

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA