MSANII DADDY Q AKATAZWA MSHAHARA WAKE NA KUMISTREATIWA NA KAMPUNI FLANI NAIROBI.
Msanii aliyevuma kwa kibao 'tumerelax' na 'nakuita' aliyeanzia muziki wake Ukunda amepatwa na pi go la mwaka.Daddy aliandikwa kazi na kampuni ya homeboys na kikichofuata ni kufanyishwa kazi nyingi,bila chakula na malipo.Msanii huyu anayemiliki kampuni ya Grip music hujipata pabaya yeye pamoja na wafanyikazi wengine pale nduguye mdosi anapowafokea na kuwakataza mishahara yao.Tulipowasiliana na Daddy Q alitueleza hivi............ "si wajua nimekua nikiwa subcontracted na homeboyz entertainment kwa jobs under department ya homeboyz tv chini ya bro wa mdosi wa homeboyz yuaitwa Alpha Rabar maze huyu jamaa amekua pain kwa wafanyi kazi sana long working hours,no food no extra time payment underpayment nakadhalika mpaka kuna day aliambia worker mmoja ampigie daughter wake amwambie yeye ni uncle amemwachia mshahara so hawa jamaa wameamua hata kutoa no.s zao kwa interview ya simu, so mimi niliwafanyia kazi since November fee. Note ikiandikwa huyu kibaka bro wa mwenye homeboyz yuapotezea since December mpaka saa hizi niki text mdosi hareply hashiki simu, amekosana na thome wa boomba,izzo wa cream vision,kepha wa naswa,brenda,phillomena wa kenya films,etc." Habari ndiyo hiyo,wasanii wa pwani wakienda Nairobi wanatumiwa wanatemwa.Mara Kidis,Fisherman sasa Daddy-Q!!!!!!
Comments
Post a Comment