MSANII SHINEY BAADA YA KIMYA KIREFU ARUDI TENA "RIDE ON ME".
Ni binti aliyejaliwa na kipaji kikubwa na weledi wa kupachika vokali Kali na kutamba na mdundo vilivyo.Tunamzunguzia msanii wa kike Shiney Anne.Alichipuka kwa Mara ya kwanza Kwa wimbo "maneno" na kukiri kutorudi nyuma kamwe.Alitoa vibao vingine vya kusisimua kama "ilingi" akimshirikisha Dazlah na raundi hii $hiney amerudi tena kwa kishindo kwa wimbo mpya "ride on me".Chini ya mbawa zake Produza Baindo,mdundo unakolea vyema na sauti tamu yakuvutia.Kaa karibu na radio yako upate kukisikia kibao RIDE ON ME kwani tayari kishaachiliwa rasmi.
Comments
Post a Comment