HEBU FIKIRIA KAMA SANAA YA PWANI INGELIKUWA DARASA.WASHIKA DAU HAWA BASI WANGEKUWA HIVI........


1.VICHWA NGUMU NA BACK BENCHERS.
Odinareh Bingwa,kassamoney,Ra­pdem,C deh,Achicho,mitaa kisauni,Kiwanja na Sudi Manjewa.
2.CHRONIC KISWAHILI AND MOTHER TONGUE SPEAKERS
Hapa hauwakosi kina Mr.Bado,Kidis,chikuz­ee,kaa la moto,Katoi wa Tabaka. Hawa hawakosi kubeba disk any day of the week.
3.WAREMBO WA DARASA.
Sisp,Vivonce,Shamani­z,Shiney,Lovemumz,Bi­shara Aden,Ruth Ndeti na wengineo.
4.WAMBEA NA WADAKU WA DARASA
Backstreet na pwani Usanii
5.JAMAA WAKUJIFANYA WASOMI NA KUKAA DESKI ZA MBELEMBELE.
Teddy Nyae wa Tinga,John Okoth,Escobar(msomi ila ana shida nyingi ya fee),Produza Baindo,Ammz Jadidi.
6.JAMAA WA KUPENDA KUCOPY KAZI ZA WENZAO NA KUIBA VITABU.
Susumila na Tk2
7.WAZEE WA DARASA.HAWA NI WALE WAMEREPEAT CLASS MARA KUMI.
Ukoo flani wote,Nyota Ndogo,Kingsting na Donde Samora.
8.WADOSI WA DARASA.
Mamasizo, Benso, Akoth­ee.
9.WALE WA KUBEMBELEZWA NA WALIMU AKA TEACHER'S PET.
Brown Mauzo,Gates Mgenge,Shembwana,dj ivory na produza Lai.
10.Fat S,Donde na Morbiz ni wale jamaa hukujanga na maandazi na viazi class.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA