BENSO-"IMEREMENDE" MWAKA HUU NDIO MOTO ZAIDI!!!!!

Huku kila uchao mashindano ya muziki yakizidi kupamba moto kwenye tasnia ya Sanaa ya Pwani na Afrika mashariki kwa jumla.Ambapo baadhi ya washika dau wa sekta ya muziki kudai Kuwa muziki wa Kenya umekufa,msanii Benso ameamua kuweka bidii zaidi ili kuregesha sifa ya muziki wa Kenya.Mwanamuziki huyu aliyetuzwa kama mwanamuZiki bora wa kiume kwenye Coast music awards mwaka Jana chini ya BRAIN CHILD MUSIC GROUP ameandaa video ya kimataifa itakayowazuzua Wengi. Benso ambaye hupenda kugaramikia video sake,raundi hii amedhihirisha wazi kuwa yeye ndiye bingwa wa muziki na video safi Pwani kwa Afrikaa mashariki.PATA KUITAZAMA VIDEO YENYEWE HAPA-- .https://m.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=yE9EfR8BepU

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA