NYOTA NDOGO KUFUNGUA REDIO STESHENI YAKE BINAFSI .
Mama mlezi wa sanaa ya pwani aka Nyota Ndogo yaonekana kila uchao ana mapya mazuri. Msanii huyu ambaye ameingia tu majuzi kutoka ng'ambo amewasili na habari njema ambazo wasanii wa pwani watakua na raha kabambe wakizipata.Nyota yupo katika harakati za kufungua redio stesheni yake. Nyota alikuwa na haya ya kutujuza.........
"Moja kati ya mipango yangu ni.niko katika hatakati za kufungua radio yangu.itakayo itwa MAMA NYOTA FM.msicheke maana ni moja ya ndoto ya mda mrefu.cooming soon."
Habari ndivyo hii na twamtakia kila la kheri na bila shaka akifanikiwa Pwani usanii,backstreet entertainment, the greatmulley,Solo King,Ommy Dallah na bloggers wote hatutakosa kipindi chetu cha udaku.
Comments
Post a Comment