MSANII PAPAH AGADHABISHWA NA KITENDO CHA SHETTAH KUONGELEA VIBAYA WIMBO "DATA"


Papah au ukipenda Agiza Nitakuja lipa msanii imara wa Hornet records amegadhabishwa sana na msanii Shettah wa bongo aliyekuja Mombasa na kufanya collabo na Msanii Kigoto.cGwiji huyu amekashifu vikali maneno ya Shettah na hivi ndivyo alivyonakili.......
" Shetta from TZ, he is very stupid and primitive.
alipokuja Hornet Records Mtwapa kufanya track na Kigoto, I wanted him to pay but Welo Kagomaz and Shetta himself, wakadai niwaruhusu wafanye kazi na Kigoto ili waka market studio TZ. Saa
hii adai ilikuwa ZOEZI akaenda fanya tena na DIAMOND. Alafu ana kashifu kazi zetu?! Sina
number zake bt mkimuona mwambie ameambiwa awache UPUMBAVU hakuna studio
ya zoezi MOMBASA. Sasa basi Blog n radio station za Coast twawaomba muache kuwapa
shavu sana hawa makafiri wa Tz because wanamaudhio sana alafu uko kwao sisi atupewi shavu."

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA