CHAPATIZO ft NAY WA MITEGO NEW MUSIC.
Baada ya kufanya wimbo 'usiniulize' akiwashirikisha Chege na Shetta, Chapatizo amerudi tena kumshirikisha mkali wa bongo kwa wimbo wake mpya jina 'something about you'.
Chapatizo ambaye ni producer msanii hivi sasa hupo chini ya studio za Side B entertainment, akiwa chini ya mbawa zake Ulopa Ngoma na Descent media.
Tulimhoji na alikuwa na haya ya kunena......."I'm working on my single song 'something about you' ft Nay wa mitego. Right now i'm in Dar es salam shooting some scenes for my new video with Nay wamitego and other celebrities."
Comments
Post a Comment