KILIFI MEETS LIKONI: LAILAI NA FAT-S.


 Huku tukisahau uhasama uliokuwa kati ya wasanii wa Kilifi na Likoni,amani imerudi pale produza msanii Lai ameshirikiana na mkali wa mitindo ya maloveydovey anayetokea Likoni,Fat-S. Wimbo huo kwa jina 'commando' uliandaliwa chini ya studio za Cracksound na Lai alikuwa na haya ya kutueleza...."Hii ikiwa ndio nyimbo na kazi ya kwanza kuwahi kukutanisha msanii kutoka North coast kilifi na south coast likoni,.baada ya kutoelewana kwa muda mrefu labda amani imeanza kuregea na uelewano.By the way the song drops exclusively today....."

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA