PRODUZA TOKA KILIFI AWANYIMA WASANII HELA ZILIZOPEANWA NA SENETA.


 
 Huku idadi ya wasanii ikiongezeka mkoa wa pwani,wasanii wa kilifi walipigwa na butwaa pale produza gwiji fulani alipopewa pesa na seneta wa Kilifi na kutowagawanyia wenzake.Produza huyo ambaye yasemekana alichukua nafasi hio ili kuwapamba na kuwapatia hela wasanii wa studio yake pekee aliwakasirisha wengi hasa wasanii wale wanaoibukia.Msanii fulani ambaye hakutaka kutajwa jina alitueleza hivi....."Kuliandaliwa tamasha sisi wasanii tukaambiwa kwa kila mmoja atakaye panda juu ya jukwaa atapewa kitu kidogo but kuna produza flani,
huyu produza akachukuwa wale aliowasign akawaeka mbele walala hoi wale wanarekodi studio za kando akawabania kupanda
watu walilaumu coz katika kilifonia tuko wengi wasanii lakini kama mtawanyima ma up-coming nafasi si poa." Je ni wakati upi sanaa ya pwani itawacha malumbano?

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA