MSANII KUFANYA VYEMA NA KUSAHAULIKA!!


Msanii anayeibuka wa hiphop anayekuja vizuri Shazz Cal ametoa matatizo yake hadharani yaliyokuwa yanamsibu.Msanii huyo anayetokea pande za likoni anadai ya kuwa shirika lisilo la serikali (NGO) liliwahadaa wasanii na kuwaahadi kuwatuza washindi katika tamasha la kuinua vipaji.Shazz Cal alitueleza hivi...."KUNA N.G.O INAITWA UKIWA ARTS TROUPE
IKO HAPA MOMBASA.WALIANDAA CONCERT YA TALENT EXPLOTION,LENGO LAO LILIKUA INUA TALANTA JALI AFYA YAKO.IT WAS ALL ABOUT DRUG ABUSE AND HIV N AIDS AWARENESS.SO THEY ORGANIZED COMPETITIONS,
RAPING..SINGING ..N DANCE..
RAPPER NUMBER ONE,TO BE AWARDED A TROPHY N A RECORDING DEAL AT SQ RECORDS..LIKEWISE TO THE BEST SINGER.I EMERGED THE BEST RAPPER,I WAS AWARDED THE TROPHY AND THE RECORDING DEAL ILIKUA IANZE JANUARY 1ST,COMPETITION ZILIKUA DEC 2013.
FROM JANUARY TO THEN THE N.G.O's CHAIRMAN AND HIS MEMBERS WANAHEPA HIO STORY,NIKIWAULIZA WANASEMA SPONSOR HAJALETA PESA.THE MAIN SPONSOR OF THE EVENT WAS BASE TITANIUM.PRODUCER AMZ WA SQ RECORDZ YEYE NDIO ALIKUA JUDGE DURING COMPETITION,KIDIS THE JEMBE,JAY STAR KENYA WALIMAKE SPECIAL APPEARENCE DURING THE SHOW" Tulijaribu kuwatafuta wasimamizi wa shirika hilo kwa maelezo zaidi ila hatukufua dafu.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA