YASHANGAZA!!!!! MSANII WA GOSPEL AMWANDIKIA BARUA YA MAPENZI CHIDINMA.!!!!

Msanii Changez Ndzai kutoka hapa pwani, ameitohoa dhana kwamba wanaume wa Kenya hawajui kubembeleza ikifika wakati wa kupeana mahaba kwa wasichana. Hivyo kupelekea wasichana wa Kenya kutamani wa Nigeria. Kinyume kabisa, msanii huyu alimuandikia barua ya mahaba mazito msanii wa kike kutoka Nigeria maarufu kama Queen Chidinma Ozor. Cheki comments za badhi ya mashabiki wa Nigeria. @Okolo Noso Raph-Manuel...Queen Chidinma Ozar u don hear naa Queen Chidinma Ozar...wow am so excited

@Akunn Grace Emmanuel...but let me come in here, ubamaa brother make sure u don't stol my friends heart an made away with it because if i hear...

Onja utamu wa shairi lenyewe!



LETTER TO QUEEN CHIDINMA!

Hello beautiful Inugu's finest queen,
Warm greetings from my heart and soul,
A flower that flourishes only special garden,
Worthy more than gold and sliver spoon's pool.

Today I kneel down publicly dear as I begin,
For you deserve myrrh and snow white rail,
The only African rose flower blossoms grin,
Chocolate, Ice-cream of my heart's trail.

I promise to teach you Swahili language din,
Take you to Malindi Kenya's town so special,
Enjoy the flamboyant white beach of Indian ocean,
Eat rich Swahili dishes and drink coconut juice torrential.

You touch my soul with your banana smile train,
Driving me crazy with your sets of dipoles grail,
Brilliant shinning eyes and your light African skin,
For sure am touched by you sweet Naija Girl...waah-hehe...CHANGEZ!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!