WATANGAZAJI WA RADIO WALIONA MISHAHARA MINONO !!!!

5.MUNENE NYAGAH WA Q FM.
Kiwango chake kinaenda hadi 300,000 ksh.


4.KALEKYE MUMO WA KISS 100 FM
Huyu binti ambaye vilevile ni msanii,ana kula hela urefu wa 300,000 ksh.


3.MBUSI WA RADIO JAMBO.
Jamaa huyu aliyetoka mitaani na kujiunga na redio kwa neema ya Mungu anasheherekea zaidi ya nusu milioni kila mwezi.


2.CHURCHILL WA CLASSIC 105.
Ucheshi wake ndio unaopamba kipindi chake pamoja na Maina Kageni kila kukicha.Milioni moja pesa za Kenya ndio zake kila mwisho wa mwezi.


1.MAINA KAGENI WA CLASSIC 105
Nambari ya kwanza ni ya huyu jamaa ambaye kila mwisho wa mwezi akaunti yake ya benki inaingia 1.5 M.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!