DAAHHH.... HII SAA BALAA. MCA MTARAJIWA AONYESHA MDUDE WAKE!!!!

Huku joto la kisiasa likizidi kuwaka nchini, wanasiasa wameingia kwenye mirengo tofauti ya kisiasa na kutifua kivumbi kwenye ulingo huo.

Rapper Cannibal mwenye ufanisi mkuu kwenye tasnia ya muziki wa pwani amesimama kidete kupigania haki za wananchi hivyo basi yupo imara na ameamua kuingia

mzima mzima ndani ya ward ya Mtopanga. Rapper huyu vilevile ameangusha video mpya kwa jina mdude na inapatikana kwenye mitandao wa youtube. Tusitumie mate ilhali wino upo jitazamieni wenyewe hapa---https://youtu.be/6yFZ-JoiopY

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!