ATI WASANII KUPATA MILIONI KSH152 TABASAMU ILIYOJE!!!


Mvumilivu hula mbivu ndivyo wasemavyo wahenga na kweli hawakutulisha mawe ya kukaranga walipolonga msemo huo. Hii ni baada ya kampuni ya Safaricom kutoa kitita cha hela takriban milioni Ksh152 kwa wasanii. Katika pitapita zetu mitandaoni tulikumbana na habari hizi zilizochapishwa kwenye mtandao wa gazeti la THE STAR.

Kulingana na gazeti hilo,habari hii njema kwa wasanii ilisubiriwa kwa hamu na ghamu kwa muda mrefu. Tukinukuu baadhi ya habari hizo zilizochapishwa na THE STAR...
The money was released following the conclusion of a court case filed at a Malindi court.
CMOs received Sh141.675 million while the PRSPs received Sh10.3 million.
Each of the three CMOs (Music Copyright Society of Kenya, Performers' Rights Society of Kenya and Kenya Association of Music Producers) has received about Sh47.225 million.
They will then distribute to singers, songwriters, sound engineers, performers and music producers who have earned royalties from Skiza tunes, according to their respective distribution models.
“Last month we said that we were ready and willing to pay the money owed to the artistes as soon as we received the go-ahead from the court, and that is exactly what we have done,” said Stephen Chege, Safaricom director of corporate affairs.
“We are committed to supporting local music talent and giving musicians a platform to sell their music to the millions of subscribers registered on the Safaricom network. In that way the lives of our artistes will be transformed by providing another avenue for them to generate an income from their work,” he added.
Skiza Tunes was designed to provide structures that would ensure that artistes, composers and music producers among others are compensated for their work, and today supports over 5,000 artistes who have registered 11,000 songs on the platform.

Hivyo basi umewadia wasaa tabasamu kwa wasanii ling'ae na watengeze vitambi zaidi nao mabinti wasanii wang'are kwa pamba mpya.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!