Posts

Showing posts from October, 2016

AKOTHEE APEWA BONGE LA MAPOKEZI BAADA YA USHINDI!!

Image
NAIROBI, October 28, 2016 – Kenya's most talked about female songstress, Akothee was moved by the overwhelming support she received at her homecoming events this past weekend. Akothee jetted back into the country on Saturday afternoon after a victorious stint in the United States Of America where she bagged two prestigious awards. The Yuko Moyoni hitmaker was recognised for her role in the Kenyan and East African music industry at the African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA), an outfit that prides itself to be the sole award ceremony in Diaspora that caters to all musical genres. The singer who has crossed borders and collaborated with the best from Africa was awarded the gong for Best Female Artiste in East Africa. Akothee was in a category together with East African stars like Victoria Kimani and Vanessa Mdee. After this win, Akothee was again awarded as the Best Female Artiste at the just concluded African Entertainment Awards USA. The awards uses entertainment as a plat...

AMA KWELI UZURI WA PWANI UMEDHIHIRIKA HAPA!!!!!

Image
Benso,Gee Gee na Kigoto wameamua kuja pamoja kusheherekea uzuri wa pwani. Kwa rap iliyokomaa ya Benso,sauti nyororo ya binti Gee Gee na sauti nzito ya Kigoto mahanjam yamepandishwa na mzuka wa muziki umekolea vilivyo. Kwa ustadi wa Produza na chini ya himaya ya BRAIN CHILD MUSIC GROUP wasanii hawa watatu wameweka muhuri ndani ya jiji la Mombasa na bila shaka pindi wageni watakapo usikia watatamani kuzuru. Pata kuutazama kwa mara ya kwanza hapa(lyric video) https://youtu.be/wILSIKuLxQQ  .

SIX QUICK QUESTIONS FOR MUSIC ARTISTE JEY!!

Image
1.REAL NAME? My name is juma Seif Athumani. 2.WHO INSPIRED YOU TO DO MUSIC? Someone who inspired me it was my grandfather and my uncle..my grandfather use to be a traditional singer. .I remember when iwas young he use to tell me that. He use to have to many girls couse of music and iwas like yes this is what I want. I didn't take it serious then I started slowly few years later my little bro dazlah inspired me even more with his hit song shemegi. Since I work so hard to make ma self proud 3.WHAT MUSIC GENRE DO YOU DO? I do all types. I do is hip hop,Rnb, rhumba. E.t.c 4WHOM WOULD YOU LIKE TO WORJ WITH?? I would like to sing with,Ali Kiba,PNC,Sis-p and Dazlah. 5.WHAT ADVICE DO YOU HAVE FOR COAST ARTISTES? Work hard on ya music. Do something good to your funs and take ya music to the next level. 6.FUTURE PLANS??? My future plans. As Ave bin entertainer for all my life big working to the big arenas nearly all of the world.I wanna keep on doing entertainment...

CHIPUKIZI WA SANAA ASHTUA KWA VIDEO MPYA

Image
CHIPUKIZI WA SANAA ASHTUA KWA VIDEO MPYA!!! Baada tu ya kujitambulisha kwenye tasnia ya sanaa,msanii mpya Norry Classic ameamua kutolegeza kamba. Norry,aliye chini ya usimamizi wa Wapishi records amekuja vikali na kuandaa video yake ya wimbo "Ninavyokupenda" aliomshirikisha Lucky wa Kwanza. " Karne hii ya sasa,msanii bila video basi ataambulia patupu ndiposa nikawa juu chini kutafuta video ya wimbo wangu.Nimepata usaidizi kutoka kwa marafiki na mashabiki wanaoufagilia muziki wangu ili kufanikisha haya yote. Wapishi records Vilevile ni nguzo yangu kuu katika matayarisho yote haya." Alieleza Norry. Video hiyo itaachiliwa hivi karibuni ikifuatiwa wa audio sambamba.

KUTOKA MOMBASA HADI DUNIA NZIMA. MSANII JEY AWAKILISHA BENDERA YA KENYA!

Image
KUTOKA MOMBASA HADI DUNIA NZIMA. MSANII JEY AWAKILISHA BENDERA YA KENYA! Juma Seif alianza muziki mwaka wa 2005 town moja yaitwa Blackpool. Wimbo wake wa kwanza ulikua unaitwa "Cool charlie" na aliurekodi yeye pamoja na kikosi chake kwa jina G-lADS. "Producer hapo alikua ni Hassan wa tabasam records ila siku hiyo alikua university Manchester tukaenda hapo kwa room shuleni akaturecod.Tukaendelea na kikosi chetu kikawa kikubwa paka Nchi jirani ya Tanzania tukaungana na vijana kutoka Temeke na mimi na machizi wangu wa Bombolulu." Alidokeza JEY. Baada ya miaka kama miwili hivi kundi lake la muziki lilisambaratika.Jey hakufa moyo bali aliendelea kulisukuma gurudumu la sanaa hadi alipopata chance na kupiga collabo na Susumila."Tukafanya mikakati na Susumila, hivyo basi nikaja Kenya manake wakati huo nilikua nimesafiri ng'ambo kwa minajili ya kazi." Baada ya Kufanya kazi na Susumila ambayo ilitoka vyema kabisa,Jey aliachia kibao motomoto kwa jina ...

UTALII NDIO TEGEMEO LETU!!! WASANII WA PWANI WAFUNGUKA KUPITIA WIMBO MPYA!!!

Image
UTALII NDIO TEGEMEO LETU!!! WASANII WA PWANI WAFUNGUKA KUPITIA WIMBO MPYA!!! Baada ya kuwachia kibao NILIPE akitetea haki za wasanii,msanii shupavu Benso anayefanya mtindo wa bounce na commercial hiphop amerudi tena kwa kauli nyingine. Benso,akiwashirikisha wasanii Gee Gee na Kigoto ameandaa wimbo huu kupitia produza Beatsboy na ama kweli amegonga ndipo. Huku magwiji hao watatu wakisema mazuri ya mji wa Mombasa na mandhari ya pwani. "Kusema kweli,Pwani tumebarikiwa na mambo mengi na ni Wakati wa kuwakaribisha wageni huku kwetu. Hakuna ukabila,watu wanafanya kazi nzuri kwa bidii na usalama dhabiti pia upo. Vilevile, tunazo beach maridadi kabisa na mbuga za wanyama bila kusahau viongozi wenye bidii na hulka ya kulisifia jiji letu. Kweli Pwani tumebarikiwa!" Alieleza Benso. "Kwa nini nisi Isifie Mombasa mji wangu #001 Nilikozaliwa Na wanavyosemaga Mombasa raha kwa sheshe kwa vyakula..mandhari yetu..county 001 mchana ndogo usiku kubwa...#KaribuMombasani #Karibumombasa...

FIVE THINGS YOU DIDN'T KNOW ABOUT MOMBASA'S TOP MODEL; GLORIA KAYCHICH.

Image
1.Her second name Kaychich was derived from a dream.(Her real name is Gloria Nzilani) 2.She loves eating chicken a lot. 3.She doesn''t visit the gym but I does 50 squats every morning. 4.She owns a piece of land in Southcoast. 5.She loves light men.

MSANII MASHUHURI KUTOLEWA UUME NA KUBAKI BILA!!!!

Image
Msanii mashuhuri ulimwenguni kwa jina Jaden Smith,ambaye ni mwanawe Will Smith amewashangaza wengi. Dogo huyo aliye na mashabiki si haba alipachika maneno yanayozua kizungumkuti kwelikweli.Jaden aliandika kuwa akifikisha miaka kumi na nane atatolewa uume wake wa kiume na kuwachwa bila. Sasa asiwe mwanaume wala mwanamke,bali binadamu wa kawaida tu. Jaden alisema hivi...."I’VE BEEN WANTING TO DO THIS SINCE 13, BUT ONCE I’M LEGALLY ABLE TO CONTROL MY OWN FINANCES I CAN MAKE MY PENISLESS DREAMS COME TRUE” – JADEN SMITH" Dogo huyu gwiji wa filamu na muziki amekuwa akigonga vichwa vya habari hivi majuzi kwa kuwa na chembechembe za kupendelea mambo ya kike hasa mavazi.Jaden aliongezea haya..... “I’VE BEEN WANTING TO DO THIS SINCE 13, BUT ONCE I’M LEGALLY ABLE TO CONTROL MY OWN FINANCES I CAN MAKE MY PENISLESS DREAMS COME TRUE” – JADEN SMITH Vilevile msanii huyu Mwenye miaka kumi na saba alisema atabadili jina lake kutoka Jaden hadi Jade pindi upasuaji wake wa kuondoa tup...

SIRI ILIYOFANYA ALIKIBA KUZIMIWA MIC NA MANAGER WA DIAMOND WAKATI WA SHOW YA CHRIS BROWN!!!!

Image
Ni hivi majuzi,msanii wa bongofleva Ali Kiba alidai kufanyiwa hujuma kwenye tamasha ambalo alikua anatumbuiza la #MombasaRocks. Hii ni baada ya kuambia mtangazaji wa kipindi cha Mseto inayorushwa na Radio Citizen Mzazi Willy M Tuva,Kiba alidai kua alizima Mic na kusema kulikua na misunderstanding ya organisers,kikubwa alitilia mashaka uwepo wa meneja wa Diamond Platnumz kwenye backstage na kufoka,alikua anatafta nini na hauhusiani kamwe na shoo,angeingia VIP atazame shoo.Haha,,Patamu Hapa! Sasa ili kupata upande mwingine wa stori,Tuva alimleta kwenye kipindi meneja huyo wa Diamond,Salaam Gorge Mendez ili anyooshe maelezo,na alikua na haya ya kusema,"Nlienda kwenye hiyo shoo kukutana na management ya Wizkid,kwanza mnachofaa kujua ni kwamba meneja wa Wizkid ndo meneja wa DIAMOND kule West Africa,so akija huku East Africa lazima anipigie simu ya kikazi,pia nkienda kule nampigia simu.Yea,nlikua backstage,kulitokea kama malalamiko hivi,na shoo ikasimama kama dakika 30 hivi,Kiba ak...

GET TO KNOW ABOUT 'AFREEKA' MUSIC BAND. ITS A KENYAN-ITALY THING!!!!

Image
Afreeka from Kenya based in Italy have perfomed together since 1999.They felt destined in a music career.They chose the name ''AFREEKA'' in 2007 after a series of perfomances on a tour in Italy.Afreeka is greatly influenced by Jamaican artists and also great African musicians. Afreeka opened for and raised conciousness during perfomances with General Levy,Mykal Roseand Gentleman,Festa te le mieru (Carpigano salentino) and Festa di birra (Torcito Grounds). This led to their two songs 'More love' and 'Back to Africa' on a mixed cd compilation 'Piu amore' in 2008 and 'voce della Drago' in 2009.  In june 2010 they released there album 'Summer Jamming which consisted of 10 songs; 1.summer jamming  2.African children  3.Toscanini 4.Yaweh  5.Lala salama  6.What we are  7. Dinga ling  8. Sweet love  9. Jah Jah  10. Yaweh (dub)  2011 Afreeka track ''Sista love' appeared on a mixed cd ''Intl. Women of reggae ...

GOVERNOR 001 KUMLETA NICKI MINAJ BAADA YA CHRIS BROWN!!!!

Image
Yaonekana kaunti ya Mombasa itarikiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu. Baada ya kuwaleta Nyota wa muziki kama vile Alikiba,Diamond,Vannesa Mdee,Wizkid na Chris Brown Gavana wa Mombasa almaarufu Sultan ukipenda Ali Hassan Joho aliwapa ahadi mashabiki waliohudhuria tamasha la MombasaRocks,kuwa atamleta Nicki Minaj kuperform hapa Mombasa. Chini ya ministry ya Tourism, kaunti ya Mombasa imekuwa mstari wa mbele kukuza jina lake kupitia tamasha mbalimbali ziandaliwazo ili kuipa sifa kaunti hii kiutalii. Hivyo basi,wapenzi wa Nicki Minaj kuweni tayari!!!!

VIGEZO VYA ILLUMINATI KWENYE VIDEO YA SUDI-BOY!!!!!

Image
Hadi Laini ndio wimbo mpya wa SudiBoy akipewa shavu na dj Creme De La Creme pamoja na Wahu. Wimbo huo unaomilikiwa na Dj Creme,unaenua kope za macho yetu kwa kuna vigezo flani vya kundi la waabudu shetani,Illuminati. Wimbo huo uliyotayarishwa na producer Yo Alex ndani ya studio za Homeboys uliandaliwa na video director kwa jina Odibz na kuna sehemu flani yadhihirika Wazi alilolifanya Dj Creme ni ishara ya Illuminati. Hivi je alifanya akiwa na kusudio gani ama hakujua Maana?????? Tazama video yenyewe hapa..... https://youtu.be/lLmQsPohvNI

MANDHARI MAZURI VIDEO NZURI KUTOKA LAMU.

Image
Baada ya pwani usanii kutambulisha studio iliyopo maeneo ya Lamu,basi yaonekana kumepamba moto. Studio ya Island Love records kwa sasa inashughulikia video mbili vichapo za wasanii wao.Wakifanya kazi hiyo na director mkali kutoka Nairobi,studio hii ipo tayari kukamilisha video zake mbili za wasanii Donny na Man Azzer. Mandhari mazuri na mvuto wa Lamu umeipamba video vilivyo na bila shaka utamu utadhihirika pindi kazi itakapo kwisha.