THE EXCLUSIVE INTERVIEW WITH CHIGULU NGALA:AONGELEA KUHUSU SANAA YA PWANI!!

 Pwani Usanii: Tell us a little bit about your background.
 Chigulu Ngala: I was born in 1988 november 24th,went to makupa primary school then joined burhaniya sec but kwa sababu ya utovu wa nidhamu i was expelled then i joined tononoka secondary school where i cleared my high school education. 
Pwani Usanii: Haha,rude boy.How did you get into radio? 
Chigulu Ngala: I had an interest ya radio since i was young and most of the time i would find myself listening to the late Tony Msalame at metro fm,but wakati nikiwa colee ilifika tym nikawa natafuta atachment and i remember nilifukuzwa kama mbwa in one of the radio stations hapa mombasa but i never gave up hadi one day nikapata nafasi through askari wa mlango kule nyali where sheki fm used to be na hapo ndio nikakutana na Tony msalame who gave me a chance kwa radio. 
Pwani Usanii: Wow. Umedeal na wasanii wengi hapa pwani toka uanze.is coast music growing? Chigulu Ngala: yap its growing na kuna talent nyingi sana hapa pwani but shida yao ni kwamba wanaongea sana hadi kila promota anaogopa kuwasaidia coz hawataweza kuficha siri ya kampuni wanafaa wawe wapole na wajue kuishi na watu na hapo ndipo watatoboa coz mvumilivu hula mbivu. Pwani Usanii: Enhe. As a radio presenter wewe binafsi umechukua role gani kukuza vipaji? 
Chigulu Ngala: ok, mimi huwa natafuta msanii mwenye ana kipaji na lazima muziki wake mzuri ndio uchezwe kwa radio sio kujifanya wakuza msanii na nyimbo yake haiko na viwango vya kuchezwa kwa radio 
Pwani Usanii: Nice. What do you on your free time?
 Chigulu Ngala: im always at home with my mum or with wife na beshte yangu eliakim mwachoni na jos k. 
 Pwani Usanii: Cool.Tell us us one thing that people dont know about you. 
Chigulu Ngala: i dnt know how to swim na naogopa sana hata kujua coz kuna kuzama 
Pwani Usanii: Hahaha .One last thing; please give advise kwa upcoming artistes and young people who would like to make it in the entertainment industry. 
Chigulu Ngala: lazima wawe na heshima na wajue kile wanachokitaka kwa game na pia kibri watoe kabisa katika maisha yao.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!