NYOTA NDOGO:TATIZO NI POMBE!!

 Binti mwenye sifa kemkem na gwiji wa muziki wa pwani Nyota Ndogo hawachi kugusia mambo yanayotikisa jamii kwa njia mbaya.vNyota,ameandaa wimbo mpya kwa jina 'pombe'. Wimbo huo uliorekodiwa chini ya uandalizi wake Produza shupavu Totti upo kwenye album mpya iitwayo Mapanya.
Nyota,alitoa wimbo huo kwa ajili ya visa na mikasa inayotokea nchini kwa ajili ya pombe;watu kufa,ajali za barabarani na kadhalika.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA