MFAHAMU MFALME-JAY.


Je,una fahamu kama Mfalme j ni msanii aliyebarikiwa na kipaji cha kuimba pamoja na uigizaji wa filamu mjini Malindi.Ni mmoja katia ya wasanii wanaofanya vizuri mjini Malindi.Kwa sasa amechia video yake mpya aliyomshirikisha SHA BIGGY na THE STREET MAJOR (MASTA KIMBO). 
courtesy of malindi superstars

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.