SUDIBOY ATOA WIMBO MPYA AKIMSHIRIKISHA AMILEENA.


Sudiboy Mohamed aliyetamba kwa mara ya kwanza kwa kibao 'banati' amerudi tena kwa kibao 'naona bado' akimshirikisha Msanii toka Ukunda anayefanya muziki Nairobi kwa jina Amileena.Collabo hio iliyoandaliwa ndani ya studio za grandpa recordz imewaleta wakali wawili toka pwani wanaofanya muziki wao Nairobi.Sudiboy alinakili haya leo kwenye ukurasa wake wa facebook " Nashukuru sana watu wangu kwa kuniweka juu mpaka saa hii na bado nitazidi kuwapa mziki mzuri so ngoma yangu mpya tayari SUDI FT AMILEENA -NAONA BADO ndani ya studio ya grandpa..."

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA