NYOTA NDOGO APIGWA CHABO AKIBADILISHA NGUO;AKIWA UCHI !!!

Huku tukisubiri album yake ya mapanya kwa hamu na ghamu,binti msanii wa hapa pwani Nyota Ndogo alijipata kwenye bugdha wikendi hii iliyopita baada ya kupigwa chapo a.k.a kuchunguliwa akibadili nguo katika chumba chake cha wageni cha kubadili mavazi alichokuwa amepewa wakati wa show yake.Nyota aliyekuwa uchi huku akijipaka mafuta alishtukizia watu wakimtazama ndipo akajua kuwa masela walikua wanampiga chabo huku wakidondokwa na mate.Nyota anahisi pia alikua anarekodiwa video bila kujua ila alisema kuwa ana imani kuwa kila kitu kiko sawa japokuwa alipigwa na haya na aibu kuu.Haya ndiyo aliyoyanakili kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu tukio hilo......."Yaani nimekwenda show.nikapewa chumba chakubadili nguo.nimevua nguo zote najipaka mafuta pole pole kumbe najiangalia kwa kioo kumbe upande wa pili naoneka kila kitu.yaani nimekosa amani...aibu nilio iona Mungu ndio anajua.sijui wamechukua video..haya ngoja tusubiri......"

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!