KAA LA MOTO ANYOOSHA MKONO KUSAIDIA JAMII YA SPRINGS OF HOPE CENTER.

Kuimba tu na kuburudisha hakutoshi ndio usemi mpya wa sanaa ya pwani.Huku Fisherman akimaliza kuwakaribisha wenzake kwa 'TWAAYF KIDS BACK TO SKUL DONATIONS' rapper Kaa la Moto amenakili kwenye ukurasa wake wa Facebook mambo mema aliyokuwa akiwafanyia watoto wa mitaani na wasiojiweza wa Springs Of Hope Watamu.Rapper Kaa La Moto alikuwa na mradi wa HAKUNA CHOKORAA,NI BINADAMU PIA.Tukimnukuu kwenye kurasa zake za facebook Kaa La Moto aliandika haya "As an mcee we do many projects mbali na mziki ...Inafika muda una nyosha mkono kwa Jamii....Msanii ni kioo cha jamii sio kioo cha Jaguar...Asante Mama Nyota Ndogo Kwa yote na harakati tunazofanya...Nikiwa WATAMU the whole week with Street kids at Springs of Hope....Big up kwa the Commitee am wit....Asante Mungu...Project Hakuna Chokoraa ni Binadamu pia ...." Vilevile kutakuwa na mradi wa TWAAYF KIDS BACK TO SKUL DONATIONS jumapili hii tarehe nne kuanzia saa sita Likoni.Nyote mwakaribishwa kusaidia kutoa chochote kitakachowawezesha watoto warudi shule kwa muhula wa pili.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!