YOUNG NJITA AMKARIBISHA KAA LA MOTO MALINDI...
YOUNG NJITA AMKARIBISHA KAA LA MOTO MALINDI...
Mkali wa miondoko ya hiphop anayetokea Malindi amemkaribisha rapper maarufu pwani,Kaa la moto mji wa chocolate city Malindi.
Wawili hao tayari washashirikiana kwa wimbo mkali sana uliofanywa kwenye studio za Malindi records chini ya Produza Sango.
Video yenyewe iliandaliwa na Marvin Y Brudaz lebo ikiwa ni Malindi records.
Cheki hapa......
https://youtu.be/_QQeTtesnsM
Comments
Post a Comment