JE ULIPITWA NA INTERVIEW YA 'KARIBU MOMBASANI' NDANI YA BARAKA FM HAPO? TAZAMA HAPA UPATE UHONDO!
JE ULIPITWA NA INTERVIEW YA 'KARIBU MOMBASANI' NDANI YA BARAKA FM HAPO? TAZAMA HAPA UPATE UHONDO!
Hapo jana kulichimbika ndani ya Baraka fm pale Benso na Miss Gee gee walipovamia kipindi cha THE MEGA BREAKFAST mida ya asubuhi.
Wasanii hao,wakiwa katika pilka pilka zao za kuipa promo video yao inayokuja ya KARIBU MOMBASANI waliingia kwa mbwembwe nyingi na kuwazawadi watangazaji wote kwa t.shirt za BCMG.
Benso alieleza wazi kuhusu fununu za video yao na jinsi watu wanaivyoizungumzia na kuweka ukweli wote wazi pasi kuficha lolote.Cheki picha hapa
Comments
Post a Comment