VIDEO NZURI YAJIUZA YENYEWE----SIRI YAVUJA!!!!
VIDEO NZURI YAJIUZA YENYEWE
Wengi wa mashabiki na wanaofuatilia sanaa ya Pwani watakubaliana na mimi nitakaposema kuwa watu wengi hawazipendi au kuzifagilia video za pwani.....ndio au la? Jibu unalo mwenyewe.
Kasumba hii imejengwa kutoka zamani hivyo basi watu washazoea kuwa hakuna video au ni video chache za pwani huwa nzuri. Na kama ni nzuri basi sio kampuni au director wa pwani aliyeandaa video hiyo.
Ni hivi juzi tu msanii tajika wa hapa pwani alipotoa video mbovu mno iliyokosa kabisa vigezo vya kuchezwa kwenye 'mainstream media' kama wasemavyo wazungu.
Yote tisa,kumi ni kuwa wasanii watatu waliamua kuja pamoja ili kuweza kugeuza dhana na kasumba ya kuwa pwani hawawezi kutoa video nzuri.Benso,Gee Gee na Kigoto waliyatumia mandhari yaya haya ya pwani kutekeleza kazi yao.Matokeo ni kama muonavyo kwenye picha hizi..........
Comments
Post a Comment