WATALII WA KIGENI WAJAZANA KWENYE VIDEO YA WASANII WA PWANI!!!!
WATALII WA KIGENI WAJAZANA KWENYE VIDEO YA WASANII WA PWANI!!!!
Huku mwaka ukizidi kusonga mbele mdogo mdogo,wasanii wanazidi kupambana kimuziki na kutengeza audio na video ili wasipotee kwenye chati za muziki.
Benso ,Kigoto na Miss GeeGee kamwe hawajaachwa nyuma kwani watatu hawa wapo katika matayarisho ya video yao ya Karibu Mombasani na watalii walijazana furifuri kuipamba video hiyo.
Fununu ni kwamba,mandhari ya video hiyo wakati wa uandalizi wake uliwavutia watalii sana na wakaamua kujiunga kwenye camera kuuza sura!
Comments
Post a Comment