MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!
MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMANI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!
Huu bila shaka ni moto wa kuotea mbali na wasanii hawa wamejizatiti vilivyo kuwaleta warembo tele kwenye video yao.Sio warembo tu bali warembo wa kuvutia na kuridhisha nafsi.
Wimbo wenyewe ni KARIBU MOMBASANI wa Benso,Kigoto na Miss Gee gee uliotoka mwisho wa mwaka Jana.Kamwe hatujui kulitumika mbinu gani kuwatafuta models wa sampuli hii ila tunachojua ni kuwa hawa sio wale wa kuokota mitaani au vichochoroni bali mabinti wanaofanya uanamitindo wa kulipwa.
Bado tukiisubiri video yenyewe itakayotoka hivi karibuni,picha hizi dhahiri shahiri zadhihirisha uzuri unaokuja......
Comments
Post a Comment