MOMBASA HOTTEST RAPPERS. TO WATCH OUT FOR
1.KAA LA MOTO KIUMBE aka Mohamed Ali MTINDO:Hardcore Rap SKILL:Ana freestyle na Punchlines kali. Alianza katika mashindano ya Dont Break the Beat freestyle competition na akafuzu kufika Nairobi. Ni mmoja ya wakali wa Mombasa hip-hop. He is known to call himself the King of freestyle and hosted the hip-hop Thursday on pwani fm alongside Gates Mgenge. Amekua na tetesi za kuibukia bongo na kuwa Mkenya anayeiga flow ya rapper Stamina. Mwaka uliopita alituzwa kwenye Coast Music Awards. Kaa anayetoka mitaa ya Bersheba aliidai kwenye redio kua ana mzungu na alihamia mtwapa anakoishi naye. He currently has a song with singer Luv Mamz that is doing good on radio and a video for his song mia kwa mia alongside Jaystar. 2.ODINAREH BINGWA aka Mr Controversial MTINDO:Commercial/Revolutionary Rapper SKILL: Mtunzi Hodari na anafoka mchanganyo wa kizungu,Sheng na Kiswahili. Hubadili mtiririko wake sana kwenye beat. Msanii huyu wa Kelele Rec...