Posts

TAFSIRI YA WASANII KUMI WA PWANI WATAKAOFANYA VIZURI ZAIDI MWAKA HUU.

Image
10.Ziky wa Ziky   Ni msanii mchanga aliyesajiliwa ndani ya Jungle Masters chini ya produza mkali Emmy Dee . Ziky wa Ziky amethibitisha uwezo mkali kwa wimbo wake wa kwanza na kuichukua style ya wanamuziki wa Jungle Masterz vilivyo, kama vile Dogo Richy, Majid na Lypso . Tarajieni makubwa kutoka kwa Ziky wa Ziky. 9.SHEMBWANA MASAUTY   Msanii huyu alidhihirisha uwezo wake kwa wimbo 'uko mbali' ambao japo haukuvuma sana hivyo ulimleta karibu na mashabiki zake. Baada ya hapo chini ya Liwazo records ,Shembwana alirudi kwa kibao cha dancehall 'siwezi' kilichomtambulisha Kenya nzima na kumvutia mashabiki chungu nzima. Mwaka huu, twahisi Shembwana atakuwa moto wa kuotea mbali na twatarajia burudani la kukata na shoka kutoka kwake. 8.KIWANJA   Ni dhahiri shahiri kuwa Malindi kuna vipaji na bila shaka tunamzungumzia msanii Kiwanja. Rapper huyu chini ya Malindi records amezuka vikali kwa vibao vyake ' Afrikano ' na collabo kali kwa jina 'bo...

SHAME, SQ RECORDS CEO STEVE OTIENO ARRESTED AFTER HE WAS FOUND WITH AKOTHE'S STOLEN PROPERTY!

Image
SQ records CEO got the shock of his lifetime after police stormed into his house and had him arrested over theft allegations. Credible information reaching us confirms that the equipment, Akothee's sound cards and recording property were found at the scene of arrest. Akothee who together with Backstreet had gone to confirm this accompanied with Mtwapa police officers were shocked to the core since they trusted Steve to be a man of morals. This however turned out to be a whole different story and Steve had to find his way into mentioning his accomplice. According to information reaching us, Steve threw the burden to Coastal artist Brown Mauzo saying he bought them from him. Mombasa city has also confirmed that Steve had begged Brown to also make away with Akothee's Canon Camera and other studio equipment which the artist used. The police were shocked with the incident and Akothee has also confirmed the equipment were legally hers and was shocked as why such b...

PATA KUMFAHAMU MTANGAAJI GWIJI 'ATHMAN AYUB MATUMBO' BABA MLEZI WA SANAA YA PWANI AKIELEZEA SAFARI YAKE KWENYE JUMBA LA UTANGAZAJI.

Image
(Akielezea mwenyewe) Nilimaliza elimu ya msingi 1993, pale Dabaso primary school, Watamu. Nilifanikiwa kuibuka mwanafunzi bora mwaka huo katika eneo lote la Gede na nikapata nafasi ya kujiunga na shule ya upili Godoma Boys. Kutokana na hali ngumu ya maisha fedha ilikuwa shida nilishindwa kuendelea na masomo Ya upili Godoma na nikahamia nchi Jirani ya Tanzania ambako nilibahatika kuendelea na masomo yangu hadi kidato cha sita pale islamic seminary school ya ununio boys. Lakini Kila jambo lina sababu yake baada ya kuhamia bongo ,miaka hio ndio muziki wa bongo flava ulikuwa inazaliwa.Kipindi hicho mziki huo ukiwa unaitwa BONGO ZANIA.Niliweza kushuhudia mwanzo wa mziki huu wakati huo wahasisi wakiwa ni kina Swaleh Jabri, Nigga One, Kyadaman, Ras Pompidu. Ndipo wakaja kina Too Proud a.k.a Mr TWO au Suguu Nigga Jay kwa sasa Profesa Jay. Nami sikuachwa nyuma kwani nilikuwa ni mwanamziki wa kufoka foka, hip hop artist Japo sikuwahi kurekodi. Baadhi ya wanamuziki a...

MEET: DANIEL OKORIR A MASTER OF LIVE MUSIC AND AFRICAN INSTRUMENTALS.

Image
Daniel Okiror had barely started on his journey of creating a unique & true Ugandan genre by fusing roots instruments especially Akogo, Adungu, Adeudeu, Edodoi, Arigirigi, & African drums/percussion with modern/western instruments, mainly acoustic and base guitar, saxophone & Keys when he took a radical global minded step of pursuing his vision beyond the boarders, resulting to him becoming a Mombasa Kenya resident. Originally from Eastern Uganda, Daniel Okiror's musical roots can be traced back to the age of 3, when he first made a song called Papa Ijaka (Father...who will help me). From then on it was clear that his musical journey was going to be influenced by his experiences growing up as an orphan and indeed, this painful experience soon found an outlet in music and a strong desire to give back to the community. This makes him a unique kind of musician who uses his talent, time and resources to help African street children find a hopeful future! H...

MAJID KULEKULE REVEALS SEVEN SECRETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT HIM!

Image
Majid aka Kule Kule ni msanii aliyevuma kwa vibao vingi tu vikali vikali vikiwemo Hali,Sinyora,serebuka,Ungenambia na vinginevyo.Mkali huyu wa flavour za swahili rnb alishare na sisi siri saba zake tusizozijua---- 1.Majid hupenda kupika. 2.Majid hapendi uzururaji ovyo bali hupenda kutulia home. 3.Hapendi kuskiza muziki kwa sauti kubwa sipendi. 4.Majid hupenda sana kuskiza stesheni ya BBC 5.Hupenda kula wali sana(na hanoni!). 6.Majid hupenda kupanda maua. 7.Hupenda kupanga rangi.

KWA MARA YA KWANZA WIMBO WA HIPHOP WENYE LIVE GUITAR YA GENERAL DEFAO!!

Image
Huku sanaa ya muziki ikizidi kupanuka na wanamuziki kuwa na mitindo tofauti tofauti.Msanii wa hiphop Hustla-Jay hajawachwa nyuma.Jamaa huyu ambaye ametamba kwa vibao kama minyororo ya haki,continental scar na nyinginezo amezuka upya na kuwachia ujio mpya.Hustla ametoa wimbo ambao ulipigiwa live guitar na Onyango Onyi aliyekuwa mpigaji guitar wa muimbaji lingala mashuhuri General Defao.Pata kuusikia wimbo wenyewe hapa--------- https://soundcloud.com/hustlajaymaumau/siku-mbisha-hustlajay-ft-hakim-ziya

KIPINDI CHA ALMASI K24 CHAKARIBIA MWISHO.

Image
Twashuku tamati imefikia kwa kipindi cha kusisimua ALMASI kinachotia fora kwenye televisheni zetu kila siku.Kipindi hiki kilichojaa talanta za waigizaji wa pwani kimepewa sifa za ndovu kumla mwanawe ila kilicho na mwanzo bila shaka hakina budi kufikia mwisho.Hivi ndivyo alivyonakili MJ muiizaji machachari wa kipindi hicho................"Mr Mj aka Baba Chocha aka Mambo madogo.Jana ndio ilikuwa siku ya mwisho ya kushoot Almasi.Kumekuwana pandashuka za hapa na pale ila nimejitahidi kuwaridhisha mafans wangu kwa kufunga kazi ipaswavyo.Respect to Ashiner picture, Almasi artist,crew na mafans wangu wote ni kwa support yao ndio imenifikisha hapa nimefika.God bless you all....Nionyeshe upendo kwa kutoa hisia zako kuhusu Mj.