Posts

PWANI USANII AWARDS: WASHIKA DAU WA PWANI WALIOFANYA VYEMA 2014.

Image
Tangu tuanze kuangazia sanaa ya pwani mwaka huu,hawa ndio washika dau wa sanaa ya pwani waliofanya vyema zaidi. Hii ni kulingana na uchunguzi wetu tulioufanya kama waandishi wa sanaa ya pwani kwenye mitando. Nao ni kama wafuatavyo:-  1.BEST MALE ARTISTE: KIGOTO MMBONDE 2.BEST FEMALE ARTISTE: JOVIAL 3.BEST RECORDING STUDIO OF THE YEAR: JUNGLE MASTERS 4.BEST AUDIO PRODUCER OF THE YEAR: TK 2   5.BEST VIDEO PRODUCER OF THE YEAR HAMZA OMAR-ONE POINT ONE MONTAGE   6.BEST ACTOR/ACTRESS JUMA SHIBE(MJ WA ALMASI) 7.FEMALE RADIO PRESENTER OF THE YEAR SISTA SHANIZ   8.MALE RADIO PRESENTER OF THE YEAR ARNOLD MUNGA   9.HIPHOP ARTISTE OF THE YEAR KAA LA MOTO KIUMBE   10.UPCOMING ARTISTE OF THE YEAR HARSH B   11.BEST DJ OF THE YEAR VDJ IVORY   12.BEST SONG OF THE YEAR NGOMA ITAMBAE - SUSUMILA ft CHIKUZEE 13.BEST MUSIC VIDEO OF THE YEAR I DO-BENSO ft MISS GG   14.BEST COLLABORATION OF THE...

A MESSAGE OF PEACE,HOPE AND RÉSTORATION FROM LIKONI PUPILS.

Image
As the Kenya music festivals came to a conclusion late last term,a masterpiece verse touched the hearts of many Kenyans. Performed by Timbwani Baptist primary school from Likoni, the verse titled KENYA TUNALIA brings forward a theme affecting many Kenyans especially from their home area Likoni. Although many verses performed at the festival brought forward current affairs which were educative enchanting and entertaining, the one from Timbwani Baptist Likoni primary school stood out. Hailing from a place where terrorism and violence stroke. four pupils assisted by their music club patron and teacher Mr Godwin Wambua decided to perform a Swahili verse to advocate for peace, hope and restoration. Written and directed by Wambua, the verse brought out clearly the bitter cry of Likoni kids praying for peace."Nani asiyetamani amani jamani, mpeketoni likoni Kenya tunalia si" quoting from one of the verse's lines."Likoni is one of the affected areas when it comes to t...

RAMOO LAVICHUNARE ASEMA:Bora nile mali yangu pole pole kuliko kulipwa show ya elfu tano ama kumi.

Image
Tulipata kumhoji Ramoo wa kikosi cha Lavichunare waliotamba kwa vibao; mwalimu wa kemia,polepole na vinginevyo na alikuwa na haya ya kunena kuhusu maisha yake binafsi: PWANI USANII:KANDO NA KUWA MWANAMUZIKI,UNAJIHUSISHA NA NINI? Ramoo Lavichunare Lavi: kando na kuwa mwanamziki Mombasa i'm a real G.S.U in Kenyan forces and still apart from been a G.S.U still I got ma own bussines. PWANI USANII:TUELZEE KUHUSU HIO BIASHARA YAKO. Ramoo:Nina matatu ya route ya Tudor-Ferry.I have more than 4 tuk tuks nyuma zikiwa zimeandikwa Lavichunare. PWANI USANII:UNA MPENZI,MCHUMBA AU MKE? Ramoo:I'm a blessed married man. PWANI USANII:TUELEZEE JINSI WEWE BINAFSI UNAVYOUONA MUZIKI WA PWANI KWA SASA. Ramoo:Bora nile mali yangu pole pole kuliko kulipwa show ya 5k ama 10k .Ndio maana sipapatiki si kiawards wala kishow.sikufichi mimi naudharau mziki wa coast maana viongozi wetu duni sana.

MSANII/PRODUCER LAI AFANYA KIOJA KIKUBWA BAADA YA TIMU YAKE ARSENAL KUFUNGWA.

Image
Je mnakumbuka wimbo kwa jina VIJITABIA VYA LAI?? Wimbo huu uliovuma miaka miwili iliyopita ulikuwa watafsiri yatakayojiri juzi kati ya mchuano wa Manchester united na Arsenal.Lai alifanya kioja ambacho wengi wetu tunaweza sema ni cha kipumbavu.Kitendo tunachoweza kukiita hasira hasara.Mdakuzi wetu alituarifu ya kuwa msanii huyo anayetamba kwa kibao Tiririka na ambaye ni shabiki sugu wa timu ya Arsenal baada ya kujipiga kifua,kuandika kwa mitandao na hata kubet mihela mirefu na mashabiki na hata msanii mwenzake Bocar Jay kuwa timu yake ingeshinda. Hasara kubwa ilimpata baada ya team yake kulimwa mabao,KIOJA kilizuka pale mchezaji Wayne Rooney aliTIRIRISHA bao la pili dakika za mwisho ndipo msanii huyo Lai alisimama kwa hasira na kuinyakua tv iliyokuwa ukutani na kuibwaga hadi kuvunjika bila kujali stima.Washikaji zake aliowaalika kwake ilibidi wajipange kwenda kumalizia game hio bandani

MSANII WYNAS YULE WA PLAYBOUY ANA MAPYA!

Image
Ni dogo anayekuja kwa kasi mno na tunaweza sema anawapa wanamuziki wengine 'sleepless nights' kwa ujuzi wake wa vokali kali na kutamba na mdundo vizuri.Wynas chini ya mbawa zake produza Tee leo hii anawachilia kibao kipya kwa jina Tujirushe. Tulipomuuliza kwanini raundi hii ameamua kutofanya muziki wa mahaba.Wynas alikuwa na haya ya kusema,"Nimerekodi nyimbo nyingi sana za mapenzi ndio producer wangu Tee akanambia nijaribu kufanya style tofauti kidogo ili niweze kuridhisha mashabiki wa kila aina ya muziki." Wakati wa kujirusha umefika,tegeeni ujio mpya wa Playbouy Wynas.

MSANII/PRODUCER LAI AFANYA KIOJA KIKUBWA BAADA YA TIMU YAKE ARSENAL KUFUNGWA.

Image
Je mnakumbuka wimbo kwa jina VIJITABIA VYA LAI?? Wimbo huu uliovuma miaka miwili iliyopita ulikuwa watafsiri yatakayojiri juzi kati ya mchuano wa Manchester united na Arsenal.Lai alifanya kioja ambacho wengi wetu tunaweza sema ni cha kipumbavu.Kitendo tunachoweza kukiita hasira hasara. Mdakuzi wetu alituarifu ya kuwa msanii huyo anayetamba kwa kibao Tiririka na ambaye ni shabiki sugu wa timu ya Arsenal baada ya kujipiga kifua,kuandika kwa mitandao na hata kubet mihela mirefu na mashabiki na hata msanii mwenzake Bocar Jay kuwa timu yake ingeshinda.Hasara kubwa ilimpata baada ya team yake kulimwa mabao,KIOJA kilizuka pale mchezaji Wayne Rooney aliTIRIRISHA bao la pili dakika za mwisho ndipo msanii huyo Lai alisimama kwa hasira na kuinyakua tv iliyokuwa ukutani na kuibwaga hadi kuvunjika bila kujali stima.Washikaji zake aliowaalika kwake ilibidi wajipange kwenda kumalizia game hio bandani.

VOTE FOR SPICE MAGAZINE:

Image
WAKATI WA KURUDISHA SHUKRANI UMEFIKA.BAADA YA MAGAZINE YA SPICE KUCHUKUA JUKUMU LA KUANGAZIA SANAA YA PWANI,WAKATI UMEFIKA KUWAPA SHUKRANI ZETU. SMS AH2 to 21001 ILI TUWEZE KUWAPIGIA KURA SPICE MAGAZINE KWENYE BINGWA AWARDS KWA KUWA MAGAZINE YA PEKEE ILIYOAMUA KUANGAZIA SANAA YA PWANI. SMS AH2 KWA NAMBARI 21001.