COMMENT YA ZARI KWA AKOTHEE YAZUA BALAA!


Comment ya Zari wa Diamond Platnumz kwa msanii Akothee baada ya kupost hiki



Zari acomment kwa Akothee ambae alipost instagram kuwa "Ni nafuu kwake kuwalisha na kuwatunza mbwa 32 lakini sio kuwafurahisha marafiki 5...!"

Kutoka +254, msanii wa Kenya Akothee ambae amewahi fanya hit ya sweet love na mkali wa bongo fleva Diamond Platnumz. Inaonekana alipost hivyo kutokana na fadhila mbaya anazopata toka kwa marafiki zake. Tazama alichopost na majibizano yao.





Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA