BEKA THE BOY AJITAYARISHA KWA VIDEO MPYA.

BEKA THE BOY AJITAYARISHA KWA VIDEO MPYA.


Huku bado akitikisa mawimbi ya sanaa ya pwani,msanii anayekuja kwa kasi Beka the boy ameamua kutolala tena.
Beka,kwa sasa yupo katika pilka pilka za kuandaa na kuachia video yake aliyomshikisha Kiwanja 'Siri ya Moyo'.

Inakisiwa kuwa video hiyo itafanywa na Director Marvin Bruddaz wa Malindi records.Director yuyu huyu ndiye aliyemuandalia video ya Niko low ambayo ilifanya na bado inafanya vizuri hadi dakika hii. Usikae mbali!

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA