UNAZUNGUMZIA MAHABA YA KIPWANI???? HIZI HAPA NYIMBO KUMI KALI ZAIDI ZILISHAWAHI TOLEWA NA WASANII WA PWANI!!!!

TOP TEN BEST EVER COASTAL KENYA LOVE SONGS.

10.NAKUSUBIRI- ALKENIA LUV
Iliandaliwa chini ya studio za MK2,Produza P-Lion.


9.AMINI MIMI-SUDIBOY ft SIMPLE BOY
Produza Emmy Dee -JungleMasters

8.NATAFUTA-NYOTA NDOGO
Nyimbo hii japo hatukumbuki iliandaliwa na Produza yupi ilijulikana kama PENZI LA UONGO pia.

7.CHRISTINAH- WAWINDAJI
Ndugu hawa wawili walio na vipaji si haba walitayarisha kibao chao Christina ndani ya Blaque records ya producer Badagah.

6.SO NICE-CLD,CHIKUZEE,OHZY,RAZ MICHA & FLIM-C
Kikosi hiki kiliandaa wimbo huu ndani ya Thunerdsound records.

5.KICHAPO CHA MAPENZI-KIGOTO
Japo haikuvuma Sana,nyimbo hii yenye mahaba makali iliandaliwa na producer TK2.

4.ANANIPENDA- DADDY SELLLE & FAT S
Kama vile ngonjera nyimbo hii ya wawili hawa iliwavutia mashabiki sana.

3.ANISA-KINGSTING & BEDBUG
Uandalizi wake Produza Bablee wa Tabasamu records.


2.MAPENZI- JAY KINI & ALKENIA LUV
Chini ya Mk2 studios, Rapper Jay Kini alimshirikisha Alkenia Luv kwa kibao hiki cha mahaba ya hali ya juu.

1.NIBEBE-NYOTA NDOGO
Ilitia fora sana hata hakuna haja ya kuelezea.

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.