FYATENI NDIMI ZENU WANAHIPHOP WA PWANI WANAOJISHASHA FACEBOOK. TAZAMENI RAPPER MKALI WA FASTCASHMUSIC GROUP ANAVYOMWAGA MICHUZI!!!!

 Huwa wafokaji wa pwani hupenda kupiga kelele mitandaoni jinsi walivyo wakali na muziki wao unvyotamba.Kumbe zote huwa kelele tu ila hakuna kazi yoyote inayofanyika. Ndiposa wakati mwingine inapaswa turudi chini na kunyenyekea na kuwa wakweli. Sio kujisifu na kukashifu presenters kuwa hawachezi miziki na nyimbo zenu mpya ilhali bado mnatapatapa na kuandaa vitu borohoa. Hivyo basi, tazameni mwanahiphop kwa jina KRG ceo wa FASTCASHMUSICGROUP anayetokea Nairobi anavyovuja mkwanja. 
Jamaa huyo alimnunulia demu wake bonge la gari baada ya kumrushia Party. 








Cha msingi ni STAY HUMBLE ALWAYS.

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.