Posts

Figa B opens up about missing her man

Image
Figa B has managed to captivate the showbiz world by her looks, her flamboyant lifestyle and her powerful vocals. Having left Team Mafisi salivating on her videos, the curvy songstress is back at it again as she has released her latest video, Missing You. The song was produced at Main Switch and directed by Philip Makanda. check out the video here

PWANI USANII ONLINE RADIO

https://www.spreaker.com/user/9366849/pwani-usanii-online-radio_1

PATA KUMFAHAMU POUL IBRAHIM KWENYE ULINGO WA MODELING.

Image
Pwani Usanii: Jina lako wajulikana kama nani? Poul Ibrahim:Poul Ibrahim PU: Tueleze kiasi kuhusu maisha yako ya utotoni. Poul Ibrahim:Nilizaliwa Likoni,mitaa ya Kiwerera pale Karibu na flats. Nikasomea Likoni Muslim primary na kujiunga na Pwani secondary school. Hapo ndipo nilianza kufanya uigizaji kwenye tamasha za drama na music. PU:Vyema kabisa. Katika uigizaji labda ulipendezwa na nini? Poul Ibrahim: Nilipendezwa sana na vile nilivyokua najieleza mbele ya umati na vilevile nilikua dancer mkali sana. PU:Na labda ulianza lini mambo ya modeling? Poul Ibrahim: Modeling nilianza high school ila sikua serious serious sana hadi nilipomaliza shule kwa sababu ya masomo. Nilipomaliza masomo hapo ndipo nilipojimwaga uwanjani. PU: Wewe kama model wa kiume umefanya mambo kama yapi? Poul Ibrahim: Nimekua kwenye mashindano na tamasha tofauti za modeling na vilevile nishakua kwenye advertisements za kampuni moja-mbili hivi. PU: Lengo lako kuu hasa ni nini? Poul Ibrahi...

EXCLUSIVE STORY: THE REVELATION OF KIWANJA!!!!

Image
Kiwanja is a hip hop artiste from Malindi who has done thematic and positive music over decades. Having released hit after hit, his talent was unearthed to the bigger audience when he released Bonde chafu, that almost everyone could recite the lyrics to. He is popularly known for hit songs; Hatari (which he delivers blending both southern rap and hardcore hip hop elements) Mikono juu, 411, Baby, Siri yangu, Story zetu among other collaborations. Kiwanja has worked with top Kenyan artistes for singles like The Cypher that featured Sharamaa and Richie rich (Gurugang), Hela featuring Kaligraph Jones. Recently, he has been featured in a new music single by Beka the Boy tittled Siri ya Moyo. He is now working to release a compilation album The Genesis with his label mates at Malindi Records and a tour in different parts of the country Kenya Inspiration story.His current project mabavu is doing well in the local coastal music charts. He draws his music inspiration from his surro...

MSANII DONI ATEMANA NA LEBO YA ISLANDLOVE RECORDS!!!!!!!

Image
MSANII DONI ATEMANA NA LEBO YA ISLANDLOVE RECORDS!!!!!!! Mfalme wa muziki wa Lamu,Doni ametemana na Lebo yake ya ISLANDLOVE RECORDS ndizo habari zinazotamba kwa sasa. Doni aliyesajiliwa kwenye lebo hiyo na kufanya vibao vingi vilivyofanya vizuri alikua kwenye pilka pilka za kuandaa video ya nyimbo I am original ambapo mambo yalienda ndivyo sivyo na kuleta utengamano huo. Tulipowasiliana na meneja wa Islandlove records alitueleza hivi.............." Doni gave us a big budget of his Iam original video , which was to cost a budget of 500 k which was to be done by a famous Kenyan director. We could not handle such or more than that so we had to let him go.He is an ambitious person and we wish him all the best." Hayo ndiyo maneno ya aliyekuwa meneja wa Doni na kwa sasa msanii huyu yuatafuta usimamizi mpya.

BEKA THE BOY KUWACHIA VIDEO YAKE IJUMAA HII.

Image
Beka the Boy,msanii tajika anayetokea Malindi ataachia video yake ijumaa hii. Beka aliyeandaa video yake ya wimbo 'Siri ya Moyo' chini ya director Marvin Brudaz alituhakikishia kuwa video hiyo itakuwa moto wa kuotea mbali kwani kando na kuiandaa kwenye hoteli za kifahari mbalimbali director alitumia vyombo vya kisasa ili kufanikisha malengo yake. Usikae mbali......

JE NI DHARAU AMA KEJELI???? CHIKUZEE AAMBIWA AVUE VIATU STUDIO YA DIAMOND HUKU WENZAKE WAMEVAA!!!

Image
Baada ya Chikuzee kuwachia picha akiwa studio za WCB ENTERTAINMENT ya Diamond,wengi walizikejeli kwa kuwa Chikuzee alionekana kuwa mguu chuma huku wenzake wamevaa viatu. Swali ni je,Chikuzee aliambiwa avue viatu ili asiingize vumbi lake la Likoni humo? Au je alipendelea mwenyewe kuvua viatu? Na je mbona wenzake hawakuvua viatu na yeye alivua?