Posts

ORDINARE HACHOKI KUWAKOSOA PRESENTERS............Soma hapa

Image
For a long time, wasanii wa pwani wamekuwa wakirushiana maneno in public, but round this inaonekana bulls eye imechange hadi kwa radio presenters. Kulingana na Odinareh Bingwa, kuna presenter flani wa hapa Mombasani ambaye amekuwa akidai za macho au ukipenda hongo kutoka kwa artistes  upcoming.  “Huyu jamaa amekuwa akiitisha hela kutoka kwa wasanii na wale ambao hawampi hachezi mziki wao, na hata akicheza, kazi yake ni kuikashifu.” OB aliambia magazine ya Tribe 43 ya  PEOPLE DAILY.  Juzi juzi OB amekuwa kwa limelight after wameokotana na presenter wa Pwani FM Eric Gates, baada ya Gates kutoa rangi ngoma ya OB inayojiita nusu saa na rais.

KUTANA NA DEEJAY BADAGAH.....AKITUELEZA KUHUSU BEAT YAKE....ANAYEJULIKANA NA WENGI PWANI!!!

Image
PWANI USANII:YOH KARIBU SANA.TUAMBIE JINA LAKO.   BADAGA: Jina langu ni Ali Khamisi Badaga .   PU: UNATOKEA PANDE GANI YA PWANI? BADAGA: Mi ni mzaliwa wa Kongowea na mkaazi wa kongowea.   PU:TUELEZE KUHUSU FAMILIA YAKO KIDOGO: BADAGA:Wazazi wangu wawili Badaga na mishi pia ni wakaazi na wazaliwa wa papa hapa Kongowea. Kabila yangu ni mdigo family ya Ali from Golini Kwale alipotoka Makwere Ali .Jina la Ali limetoka kwa mzee aliezaa babu Ali, alieza babake Makwere Ali na Ali wengine kwa family, PU:SHWARI KABISA.SASA TUELEZE KUHUSU MAISHA YAKO KWENYE TASNIA YA MUZIKI : BADAGA: Kabla Badaga nilikua najiita Small G. Hapo ilikua ni msaani kuhustle hapa na pale jina lilipanda but mavuno hakuna akabidi niwe dj mtaani huku nikijifunza music production jioni kwenda mafundisho kuimba na jirani yangu dada aliyeimba kiatu kivue mpaka nilipoitwa studio mwaka 2001.   PU:ENHEE KISHA........ . BADAGA:Niliendelea na mziki hadi kurekodi Anastacia single mbili but hazik...

MSANII/PRODUCER LAI AMDOKEZEA TK2 'NUMBER ONE NI SISI SIO NYINYI'.............pata uhondo hapa

Image
Msanii gwiji anayetokea pande za kilifi ambaye vilevile ni producer mashuhuri,Lai au ukipenda LailaiTena alipachika maneno kwenye ukurasa wake wa facebook ambayo yanazua maswali mengi. Sote tunajua kuwa produza TK2 baada ya kutoka Hornet records ndiye ambaye anataka kuanzisha studio yake kwa jina NUMBER ONE RECORDS, producer Lai ambaye ana wimbo mpya kwa jina SPECIAL akimshirikisha Chikuzee naye hakuchelewa kuandika hivi akimpasha TK2 ,tukimnukuu.....­.............. "Wakitaka kujiita Numbr ONE waache wajiite na hata wakiDAI wao ndio BORA niwadai TU..ILA ikifika kwa watu wachague Numbr ONE watatuchagua sisi maana sisi ndio twafanya UBORA.." HABARI NDIYO HIYO KAMA CHUNGU TEMA!

CELEBRITY PHOTO OF THE DAY: Kylnn Rebekitah Ballerinah CHECK IT OUT IT MIGHT AS WELL BE YOU!!!!!!!

Image

CELEBRITY PHOTO OF THE DAY:CHECK IT OUT IT MIGHT AS WELL BE YOU!!!!!!!

MEET GOSPEL ARTISTE :VANKELLZ REBORN

Image
Vankellz Reborn (born Kelly Evans Omondi ) is a Kenyan Gospel Artist, songwriter, rapper and actor. Born in Eldoret, Evans taught himself to sing and act at a young age and was involved in his church choir and several local talent shows. In 2010, he signed with BCC Records, and released his single 'Twamkataa' the Same year. Evans Formed a Band named it MOC-J2W and release several Hits like;Christian life,Gospel Itambe,Napiga Mbizi and Tumsifu. His desires is to make sure that the word of God is spread to the entire world. His latest project is "Ila_ni_wewe­" of which the video is still in the making.

ABRAH BINO AWACHLIA VIDEO MPYA

Image
Ni msanii aliyehamia Nairobi toka papa hapa pwani,tunamzungumzia Abrah Binoh ambaye ni binamuye Chikuzee. Msanii huyo hapo jana aliachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na ghamu, video hiyo ya wimbo wake mpya amewashirikisha wasanii gwiji wanaojulikana kama AFRICANATION. Hivi ndivyo alivyonena tulipomhoji............"nalaunch video yangu na afrikanation muziki at tribeka club kwa Tuva date 7 October.audio ilifanywa na produza Babz on the track na video Ni ogopa deejays." kuanzia dakika hii isubirini video yenyewe kwenye runinga zenu.