NASSIZU MURUME AWACHILIA MAWAZO
Baada ya kuwa signed na label ya Watanashati Classics, msanii Nassizu Murume ameachilia kibao kingine kwa jina Mawazo. Nassizu ambaye tayari ameachilia nyimbo kadhaa ikiwemo Sindi, amekuwa aking'ara hasa baada ya kazi zake kupokelewa vyema na media. Watanashati Classics ndio kampuni iliyoandaa show ya Diamond Platnumz miezi kadhaa iliyopita, huko Meru.
Tazama video yenyewe hapa
Tazama video yenyewe hapa
Comments
Post a Comment