ALIKIBA SIO KAKANGU ! MSANII AFUNGUKA.


ALIKIBA SIO KAKANGU ! MSANII AFUNGUKA.

Baada ya kutambulika kwenye road show ya Meru iliyoongozwa na comedian Churchill,msanii Nassizu Murume aliyesajiliwa na lebo ya Watanashati classic entertainment amekuja wazi na kukana madai yanayosambaa mitandaoni kuwa yeye ni kakaye msanii wa Bongo,Alikiba.

Habari hizi zilipamba moto hasa pale video ya wimbo wake 'mawazo' ilipodondoshwa na wengi walidhani ni nduguye Alikiba.Unapotazama video mawazo ya msanii huyu basi bila shaka utamfananisha na Alikiba kwani kisura na sauti wameona vilivyo.Tulipata kuwasiliana na meneja wa lebo ya Watanashati classic entertainment kuhusiana na swala zima la msanii wake kuitwa nduguye Alikiba.Alikuwa na haya ya kunena........


"Wengi wamekuwa wakimfananisha na Alikiba na walidhani ni kakake ila msanii wetu Nassizu anapinga na kusema hana uhusiano wowote na Kiba ila urafiki wa karibu tu. Kwa sasa kazi zake zinafanywa chini ya Watanashati classic."

PATA KUITAZAMA VIDEO YAKE YA "MAWAZO" HAPA KISHA UTAJIJAZIA......

https://youtu.be/IDdAYUh0Lcc

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA