LA TUKUL KUACHIA KIBAO KIPYA: ZUNGUSHA
Msanii anayechipukia kwa sanaa,La Tukul ameamua kuwaonjesha mashabiki wa muziki utamu wake kabla mwaka uishe.
Msanii huyu ameamua liwe liwalo hadi raundi hii apige bao kisanaa.
Kibao chake "zungusha" tayari kishaiva toka studio za Thundersound chini ya Produza Morbiz.
Pindi tu mambo yakiwa tayari basi,wimbo zungusha mtaupata kwenye akaunti za mdundo,YouTube na nyinginezo.
Comments
Post a Comment