COLONEL MUSTAPHA ATOA VIDEO KALI ZAIDI YA PORNOGRAPHY!!!!!
Yaonekana maneno na wosia wa msanii Nyota Ndogo kwa msanii Colonel Mustapha yaliambulia patupu au yaligonga maskio yenye nta. Mustapha baada ya video ya DODOMA SINGIDA iliyokuwa moto wa kuotea mbali, msanii huyu inasemekana yupo tayari kuachilia video ya kusisimua mwili itakayozua balaa kibao. Msanii huyu aliyekuwa kwenye kundi la Deux vultures akiwa na mwenzake Nasty Thomas amekuwa akikumbwa na tetesi kibao.
Comments
Post a Comment