Ulafi, Ubinafsi na Uzembe ndio shida ya sanaa ya Pwani, asema Producer Baindo
Huku tukisubiri kazi anazozipika chini
ya studo yake Bigfoot productions, sound engineer Producer Baindo
amefungua roho na kusema sanaa ya pwani imekataa kukuwa kwa sababu ya
Ulafi na Ubinafsi kati ya washika dau.
“We don't have team work as
Producers, Artists, promoters and the executive producers. Pia,
wasanii wengi ni wazembe na they lack originality and end up sampling
music from outside. Most of “our hits are from TZ or Naija, it's
high time we brand our own music.” amesema Baindo.
Huku wengi wakisubiri kazi mpya kutoka
kwake, Baindo amedokezea mwandishi wetu Gdwin Wambua kuwa tayari
ameshaagiza mitambo mpya kutoka Dubai, kazi iliyo mgharimu zaidi ya
milioni tatu.
Comments
Post a Comment