WACHANA NA DILI ZA KUSAJILI WASANII..... LIZZ JASOLJAH AFUNGUKA!!!!


WACHANA NA DILI ZA KUSAJILI WASANII..... LIZZ JASOLJAH AFUNGUKA!!!!

Promota na mshika dau mkuu wa sekta ya muziki wa Pwani Lizz Jasolja amekuja bayana na kutoa wasia wake kuhusiana na ishu ya kusajili wasanii wa muziki.
Mwanadada huyo aliyekuwa meneja wa Dazlah alifunguka haya pale alipofuatwa na bwenyenye flani ili waweze kufanya kazi pamoja.
Lizz alibandika maneno yake kwenye akaunti yake ya Facebook akiponda sana kuhusiana Na swala la usajili wa wasanii.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA