RAPPER OHMZ LAW MOMBASA AZINDULIWA KWENYE DOCUMENTARY YA HIPHOP SAVES LIVES


Rapper gwiji ambaye vilevile ni mshairi mkali, Ohmz Law Montana ameshirikishwa kwenye documentary ya kimataifa kwa jina Hiphop Saves Lives.

Ohms, amekuwa mstari wa mbele katika harakati za kuenua jamii kupitia hiphop.
Jamaa huyu vilevile ameandaa video kali chini Ya director Johnson Kyalo.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA