BAADA YA KIMYA TRAP STAR LIL SHAKES AZINDUKA TENA!!!!


Msanii anayekuja kwa vizuri tu, Lil Shakes ameamua kuvunja ukimya wake.

Shakes aliyetamba kwa vibao kama Gettin' money na Doing it amezuka tena baada ya Mwaka mzima wa kuwa chini Ya Maji.
Mara ya mwisho kumsikia Msanii huyu ni wakati alipokuwa kwenye mahojiano Na Pilipili fm enzi za Mtangazaji Donde Samora.
Kwa sasa, Shakes ameachia kibao Go getter, Pata kukisikiza hapa - - - - - - - >>

https://youtu.be/aC3dn98lf_Q

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA