MSANII ZUREYA ARUDI TENA KIMUZIKI

MSANII ZUREYA ARUDI TENA KIMUZIKI

Baada ya kimya Kirefu kilichopelekea wengi wetu kudhania kwamba msanii Zureya amepotea kimuziki, binti huyo amevunja ukimya wake kwa kutangaza rasmi kuwa yupo Na kazi mpya.

Kupitia kurasa yake ya Facebook, Zureya alipasua mbarika kuwa yupo na kazi mpya chini Ya Jungle Masters production Na hivi karibuni ataiwachia.

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.