MKE WA KAA LA MOTO HUYU HAPA!!!



Kaa la Moto litabidi liitwe Jiwe la Volcano baada ya kufunga ndoa Na kuwa dume la kikweli.
Harusi ya rapper huyu ilifuata mila Na desturi za kiislamu Na mpenziwe Mkewe Kaa la Moto yuaitwa Zubeidah. Team Pwani Usanii twatakia kila la kheri kwenye maisha ya ndoa.


Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA