CHIKUZEE AZUNGUMZIA KAZI ZAKE MPYA ZA BONGO....



Baada ya kuachia video moja kali, msanii anatesa anga za Pwani Na Afrika mashariki kwa jumla, Chikuzee amefunguka wazi.
Chikuzee ambaye ameonekana sana akiegemea Na kukimbilia nchi jirani ya Tanzania kufanya muziki alidokeza ya kuwa wakati umefikia ya yeye kupanua mbawa zake Na kufanya kazi kubwa zaidi zitakazo tikisa Afrika nzima.


"Mombasa nimekaa sana kimuziki Na hivi sasa ni wakati Wa kupenya bongo, Uganda, Nigeria hadi Afrika kusini.Kamwe sitolegeza kamba."Alieleza Zee la Mavuvuzela.
Pata kuitazama video Yake ya Kichungu hapa - - - - - - - - >>>
Chikuzee - Kichungu [ Offficial Video ]: http://youtu.be/l5jDKa6bhhs

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA